Ripoti Maudhui kwenye Facebook
Taarifa hizi ni za watu wanaotaka kuripoti maudhui (mfano: chapisho, picha, au maoni) kwenye Facebook.
Iwapo una matatizo mengine, kama vile matatizo ya kuingia kwenye akaunti yako au ikiwa unafikiri kuwa imedukuliwa pata maelezo zaidi kuhusu hatua unazoweza kuchukua.
Njia bora ya kuripoti maudhui yenye dhuluma au barua taka kwenye Facebook ni kwa kutumia kiungo cha Ripoti kilichopo karibu na maudhui yenyewe. Ifuatayo ni baadhi ya mifano ya jinsi ya kuripoti maudhui kwetu. Jifunze zaidi kuhusu kuripoti dhuluma.
Ikiwa huna akaunti au huwezi kuona maudhui ambayo ungependa kuripoti (mfano: mtu alikuzuia), jifunze kuhusu unachoweza kufanya.
Ripoti Maudhui
Ripoti wasifu
Machapisho
Machapisho kwenye Kalenda Yako ya Matukio
Picha na Video
Messages
Kurasa
Vikundi
Matukio
Maoni
Ads on Facebook
Hashtags
Njia zingine za kupata msaada
Piga gumzo na kisaidizi cha Meta AI
Tatua masuala, fanya mabadiliko na upate msaada katika muda halisi
